Description
App Information Muislamu Blog
- App NameMuislamu Blog
- Package Namecom.muislamublog.app
- UpdatedJanuary 2, 2020
- File Size6.8M
- Requires AndroidAndroid 5.0 and up
- Version1.0.4
- DeveloperSwahiliTech.net
- Installs100+
- PriceFree
- CategoryNews & Magazines
- Developer
- Google Play Link
SwahiliTech.net Show More...
Soka La Bongo 1.0 APK
Pata habari zote kali kuhusu Soka la Bongo kupitia APP hii ambapoinakuunganisha na habari zote kuanzia za usajili,mechi na matukiomuhimu yanayoendelea katika soka la Tanzania App hii itakupa habariza moja kwa moja kutoka klabu zifuatazo Azam Fc Mbeya City Simba ScYanga Sc Pamoja na Habari kubwa kutoka katika magazeti ya michezonchini kama. Mwanaspoti Championi Bingwa
Muislamu Blog 1.0.4 APK
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ Ndugu, Waislamu,AssalamAlaykum wa Rahmatullahi wa Barakatuh Kwanza kabisa hatunabudikumshukuru Allah (Subhanahu wata'ala) kwa neema Zakezotealizoturuzuku na kutujaalia kuwa miongoni mwa walioikubali hakinakuifuata. Pia tunamtakia Rehma na Amani Mtume wetu Muhammad(rehemana amani za Allah zimshukie) kipenzi chetu Al- Mustafaaliyeteuliwakuwa Mjumbe, Muonyaji na Mtoa bishara na Rehma kwaviumbe vyoteulimwenguni. Yeye ametumwa na muongozo wa Kitabu chaQuran namafundisho ya Sunna zake. Na kwa hakika bila ya muongozohuutungekuwamo katika kiza totoro na maangamio makubwa. Madhumuniyetumakubwa ni kuhabarisha (news) na kukumbusha(mawaidha,nasiha,maswali na majibu n.k) kuhusu mfumo wa Kiislamu.sisi tunaosimamiamtandao huu tunakusudia kujadili na kuchambuafikra, qadhia namatokeo mbali mbali ya uchumi, jamii nk. Nakuyatolea ufafanuzi kwamujibu wa mfumo wetu mtukufu wa Kiislamu.Kwa hivyo, tunapendakuwakaribisha na kuwaalika Waislamu wote katikamtandao huu ilikushirikiana nasi kwa kutoa michango yao ya fikra namaoni katikakujadili, kusoma na kuusambaza mtandao huu kwa kilawanaemjua ilikuasisi majadiliano kwa nia safi kwa lengo la kukuzaufahamu waWaislamu. Tunamuomba Allaah atupe tawfiq katika kazi yakehii naatuzidishie ufahamu na upambanuzi wa haki katika kuelezeanakufikisha ujumbe wake huu kwa Waumini wote Inshaallah.TANBIHToviti hii haihusiani na Taasisi yeyote wala kundi/Dhehebulolotetovuti hii inaendeshwa kwa muongozo wa Quran &sunnahutakapoona sehemu yeyote yenye shida usisite kuwasiliananasikupitia email yetu [email protected] Allaah ndie Muwezawayote na Kwake ndio mategemeo yetu. Wasalaam. Ndugu zenukatikaIymaan na Tawhiyd
Soma Quran 1.8 APK
Tarjama hii imeandaliwa kwa lengo la kuwawezesha wazungumzajiwaKiswahili kufahamu maana sahihi ya Qur-aan Tukufu, nayo niyakwanza ya aina yake kwa kuwa inaendana na manhaj ya NabiywetuMuhammad (صلى لله عليه وآله سلم) na Salafus-Swaalih; Maswahaba(رضيالله عنهم), Taabi’iyn na waliowafuata kwa ihsaan mpaka Sikuyamwisho. Kuna mambo mengi yanayoimaizi Tarjama hii kulinganishanaTarjama zingine za Kiswahili. Kati ya mambo hayoni:Imezithibitisha Sifa za Allaah (سبحانه وتعالى) zinazolaikiananaUtukufu Wake kama Alivyojithibitishia Yeye Mwenyewenakuthibitishiwa pia na Rasuli Wake (صلى الله عليه آله وسلم)kamaSifa ya ‘Uluww (Kuweko juu), Istiwaa, Kusikia, Kuona,Mikono,Kuzungumza na Sifa nyinginezo zilizothibiti bilakuzifanyiata'twiyl (kuzipinga, kukanusha uwezekano), walatamthiyl(kumithilisha, kulinganisha), wala takyiyf (kuainisha;namna gani),wala tahriyf (kupotosha na kubadilisha maana), kamavileinavyojulikana katika ‘Aqiydah ya Ahlus Sunnah walJamaa’ah..Imethibitisha masaail yote yahusianayo na mamboyaliyofichika(ghayb) kama Waumini kumwona Rabb wao Siku ya Qiyaamahna Peponi.Pia adhabu ya kaburi, Asw-Swiraatw (Njia ya kuvuka watuSiku yaQiyaamah), Al-Miyzaan (Mizani) na mengineyo yaliyotajwakwenyeQur-aan ‘Adhimu. Tumechagua kwa uangalifu mkubwamisamiatiinayowafikiana na makusudio ya Aayah. Tumefafanua baadhiyavipengele vinavyohitajia kufafanuliwa kama masaail yaki-‘Aqiydahna kadhalika. Tumeweka sababu za kuteremshwa baadhi yaAayah auSuwrah na mafunzo yanayopatikana. Tumetaja An-Naasikh(kinachofuta)na Al-Mansuwkh (kinachofutwa) pale tulipoweza. Kaziyoyote ya mwanaAadam bila shaka haikosi kasoro, nasi kwa Tawfiyq yaAllaahtumejitahidi kiasi cha uwezo wetu kuepuka hilo. Tunamwombayeyoteatakayegundua kosa, au kasoro, au mponyoko wowote ndani yaTarjamahii, asisite kutujulisha haraka awezavyo, nasi tutashukurukwahilo. Atujulishe kupitia barua yetu pepe:[email protected] Allaah (سبحانه وتعالى) kwa FadhilaZake, Ukarimu Wake,Upaji Wake, na Ihsani Yake, Atutakabalie kazihii, hakika Yeye niMpaji Mno na Mkarimu Mno.
Similar Apps Show More...
Kinga ya Muislamu 1.0 APK
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمن الرَّحيم Kwa Jina La MwenyeziMunguMwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu (Akhera) UTANGULIZI Hakika sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu,tunamsifu,tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah, tunamuombaAtuhifadhi nashari za nafsi zetu, na maovu ya matendo yetu.AnayemuongozaMwenyezi Mungu hapana wa kumpoteza, na Anayempoteza,hapana wa wakumuongoza. Nakiri kwamba, hapana apasayekuabudiwa ilaMwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke Yake, hana mshirika,naninakiri kwamba Muhammad ni mja Wake naniMtume Wake. Mwenyezi Mungu Amrehemu na Awarehemu jamaa zakenaMaswahaba zake na wanaowafuata hao kwa wema mpaka sikuyamalipo na Amsalimishe kwa amani nyingi. Baada ya yaliyotanguliahuuni ufupi (Mukhtasar) wa kitabu kiitwacho “HISWN AL-MUSLIMMINADHKAAR AL-KITAAB WA SUNNAH” Ninamuomba Mwenyezi Mungu kwamajinaYake mazuri, na sifa Zake zilizo juu, Ajaaliye kazi hiikuwa,imesafika lengo lake, kwa kutaka radhi zake MwenyeziMunguMtukufu, na Aninufaishe kwa hayo katika uhai wangu huu, nabaada yakufa, na Amnufaishe atakayekisoma, kukichapisha, aualiyekuwa nisababu ya kukitawanya, hakika Yeye MwenyeziMunguNdiye Muweza. Mwenyezi Mungu Amrehemu Mtume wetuMuhammad صلىالله عليه وسلم na Aali zake na Maswahaba wake nawanaowafuatahao, kwa wema mpaka siku ya malipo.
Quran With English Translation 0.0.1 APK
The Noble Quran with English Translation a Summarized versionofAt-Tabari, Al-Qurtubi and Ibn Kathir with comments fromSahihAl-Bukhari By Dr. Muhammad Taqiuddin Al-Hilali, Ph.D. andDr.Muhammad Muhsin Khan. Programmed By Mahmoud Al-Asmi. It worksonall android devices even on devices which don't support Arabic.
News & Magazines Top Show More...
Eenadu - official news app 3.0.0 APK
Please note: This app is curatedbyEenadueditors. It has all the content of the e-paper and more,andistotally free to useEenadu (Hyderabad, Telangana and Andhra Pradesh) -officialfreeapp connects you to your favorite TeluguLanguagenewspaperanywhere you are, anytime you want to read it. TheEenaduappoffers everything a Telugu news reader is looking for.Get24/7access to breaking news on politics,business,entertainment,technology, district news, sports andlifestyle. Andmuchmore...The Eenadu app also allows you to get more out of your copyoftheprinted Eenadu news paper. Seamlessly integratingtheprint(offline medium) with the digital (online) space is avisualsearchcapability which lets you discover the story behind animage.Click on enabled editorial or advertising imagesinEenaduNewspaper with your phone camera and getrelevantinformation. Youcould even take part in polls and quizzesbyclicking on theseimages.Features:* 24X7 access to the latest news from Andhra Pradesh,TelanganaandHyderabadNews, in a flash- breaking news updates by the minute* Comprehensive coverage of trending articles-relatedcontent:articles, videos, photos etc.* Breaking news notifications* Follow your district with personalizeddistrictspecificnews.* Check on your daily horoscope* Image enabled Polls and Quizzes* Visual search- click on the images in the newspaper tofindrelatedarticles.* Shopping, Click and Buy: click on the image in thenewspaperandshop online instantly.* Print Ads in the Newspaper can be clickedformoreinformation.* Share what matters to you via email, fb twitter etc.* Create your own library- save articles and organisethemintofolders* Read articles offline. Downloaded or saved articles canbeaccessedoffline too.Please Note: Eenadu Mobile app does not work onMicromaxwithAndroid versions less other than Lollipop
Narendra Modi 2.1 APK
App of Prime Minister of India,NarendraModi.It brings to you latest information, instant updates&helpsyou contribute towards various tasks. It providesauniqueopportunity to receive messages and emails directly fromthePrimeMinister.Download the app and get the latest updates anywhere,anytime!Narendra modi news todayPMO APPHighlights of the Narendra Modi app:• Receive the latest news and updates• Exclusive opportunity to receive E-Mails &Messagesdirectlyfrom the PM.• 'Mann Ki Baat' with the PM.• Small Tasks, Big Satisfaction: Contribute & earnBadgesthroughto-do tasks.• Your chance to Interact with the PM & shareIdeas&Suggestions.• Never miss out thoughts from PM Modi, read his Blogs.• Know more about PM Narendra Modi through unique insightsintheBiography section.• Read about PM Modi’s Governanceinitiatives&achievements.• Learn more about PM Modi’s efforts augmentingIndia’sGlobalRecognition.• Know about how Good Governance is improvinglivesthroughInfographics.Real Digital India App.This is informational ApplicationforModilovers,This is the perfect app to have a Shri NarendraModiworksand his informations.This is true digital India :)So register with the application to get best results.Key Features -* Different government portal on-line* Direct connect to Mr. Modi* All social connection at one place* Man ki baat ,digital India,live chat with PM.* Easy to Narendra Modi (Indian PM) details shareBest Digital India.Note: Best results in 3G network.DISCLAIMER: This is un-Official App of Prime MinisterofIndia,Narendra Modi.The content provided in this application is hosted on NICIndiaandis available in the public domain also. We have notuploadedanyvideos or any type of content. This application isjustanorganized way to browse and view NIC India portals likeMyGOV,MakeIN India,Maan ki Baat etc in another way.