SwahiliTech.net Apps

Zotekali blog 1.0.1
Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment,Life and Health Tips, Employment and Opportunities,Celebs life andScandals, New Music, New Video, Old BongoFlava, Dj Mix, Qaswida,Gospel, Hindi Music and Artist News..... Updated Daily.
Soka La Bongo 1.0
Pata habari zote kali kuhusu Soka la Bongo kupitia APP hii ambapoinakuunganisha na habari zote kuanzia za usajili,mechi na matukiomuhimu yanayoendelea katika soka la Tanzania App hii itakupa habariza moja kwa moja kutoka klabu zifuatazo Azam Fc Mbeya City Simba ScYanga Sc Pamoja na Habari kubwa kutoka katika magazeti ya michezonchini kama. Mwanaspoti Championi Bingwa
Kauli za Salafi 1.0
App hii inakupa nukuu fupi fupi za kisalaf kila siku.
Muislamu Blog 1.0.4
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ Ndugu, Waislamu,AssalamAlaykum wa Rahmatullahi wa Barakatuh Kwanza kabisa hatunabudikumshukuru Allah (Subhanahu wata'ala) kwa neema Zakezotealizoturuzuku na kutujaalia kuwa miongoni mwa walioikubali hakinakuifuata. Pia tunamtakia Rehma na Amani Mtume wetu Muhammad(rehemana amani za Allah zimshukie) kipenzi chetu Al- Mustafaaliyeteuliwakuwa Mjumbe, Muonyaji na Mtoa bishara na Rehma kwaviumbe vyoteulimwenguni. Yeye ametumwa na muongozo wa Kitabu chaQuran namafundisho ya Sunna zake. Na kwa hakika bila ya muongozohuutungekuwamo katika kiza totoro na maangamio makubwa. Madhumuniyetumakubwa ni kuhabarisha (news) na kukumbusha(mawaidha,nasiha,maswali na majibu n.k) kuhusu mfumo wa Kiislamu.sisi tunaosimamiamtandao huu tunakusudia kujadili na kuchambuafikra, qadhia namatokeo mbali mbali ya uchumi, jamii nk. Nakuyatolea ufafanuzi kwamujibu wa mfumo wetu mtukufu wa Kiislamu.Kwa hivyo, tunapendakuwakaribisha na kuwaalika Waislamu wote katikamtandao huu ilikushirikiana nasi kwa kutoa michango yao ya fikra namaoni katikakujadili, kusoma na kuusambaza mtandao huu kwa kilawanaemjua ilikuasisi majadiliano kwa nia safi kwa lengo la kukuzaufahamu waWaislamu. Tunamuomba Allaah atupe tawfiq katika kazi yakehii naatuzidishie ufahamu na upambanuzi wa haki katika kuelezeanakufikisha ujumbe wake huu kwa Waumini wote Inshaallah.TANBIHToviti hii haihusiani na Taasisi yeyote wala kundi/Dhehebulolotetovuti hii inaendeshwa kwa muongozo wa Quran &sunnahutakapoona sehemu yeyote yenye shida usisite kuwasiliananasikupitia email yetu [email protected] Allaah ndie Muwezawayote na Kwake ndio mategemeo yetu. Wasalaam. Ndugu zenukatikaIymaan na Tawhiyd
Swahili Islamic Quiz 1.2
Swahili Islamic Quiz ni app inayotoa elimu ya dini kupitiachemshabongo ya maswali yanayohusu topiki mbalimbali za dini kamavileQur-aan, Hadiyth, 'Aqiydah na Ujuzi Mbalimbali. App hiiitakuwainaongezewa maswali katika kila toleo jipya.
Hadithi za Watoto 1.0
"Hadithi za Watoto" ni app yenye hadithi fupi fupi za watotowenyeumri kati ya miaka 0 hadi 7. Inalenga katika kuelimishanakuburudisha watoto wadogo. Hilli ni toleo la kwanza,lakinitutaendelea ku-update mara kwa mara ili kufanya maboreshozaidi.
Bongo Sinema 1.4
Bongo Sinema ni app yenye filamu zote kali za kiswahili. Kupitiaapphii utaweza kuona filamu mpya mara tu itakapowekwa katikamtandao wayoutube kupitia simu yako. Aidha, app hii itakuwainaongezavipengele vingine vingi zaidi vya filamu kadri sikuzinavyosongambele.
Swahili Recipe 1.2
Swahili Recipe is a cookbook app that teaches you how how topreparedifferent types of recipes from East African origin. Withimpressivedesign and images it becomes so easy to follow a step bystepinstruction on how to prepare a particular recipe. In themeantimethe app has only few recipes in each category. We will beaddingmore and more recipes on each update. Enjoy!!
Soma Quran 1.8
Tarjama hii imeandaliwa kwa lengo la kuwawezesha wazungumzajiwaKiswahili kufahamu maana sahihi ya Qur-aan Tukufu, nayo niyakwanza ya aina yake kwa kuwa inaendana na manhaj ya NabiywetuMuhammad (صلى لله عليه وآله سلم) na Salafus-Swaalih; Maswahaba(رضيالله عنهم), Taabi’iyn na waliowafuata kwa ihsaan mpaka Sikuyamwisho. Kuna mambo mengi yanayoimaizi Tarjama hii kulinganishanaTarjama zingine za Kiswahili. Kati ya mambo hayoni:Imezithibitisha Sifa za Allaah (سبحانه وتعالى) zinazolaikiananaUtukufu Wake kama Alivyojithibitishia Yeye Mwenyewenakuthibitishiwa pia na Rasuli Wake (صلى الله عليه آله وسلم)kamaSifa ya ‘Uluww (Kuweko juu), Istiwaa, Kusikia, Kuona,Mikono,Kuzungumza na Sifa nyinginezo zilizothibiti bilakuzifanyiata'twiyl (kuzipinga, kukanusha uwezekano), walatamthiyl(kumithilisha, kulinganisha), wala takyiyf (kuainisha;namna gani),wala tahriyf (kupotosha na kubadilisha maana), kamavileinavyojulikana katika ‘Aqiydah ya Ahlus Sunnah walJamaa’ah..Imethibitisha masaail yote yahusianayo na mamboyaliyofichika(ghayb) kama Waumini kumwona Rabb wao Siku ya Qiyaamahna Peponi.Pia adhabu ya kaburi, Asw-Swiraatw (Njia ya kuvuka watuSiku yaQiyaamah), Al-Miyzaan (Mizani) na mengineyo yaliyotajwakwenyeQur-aan ‘Adhimu. Tumechagua kwa uangalifu mkubwamisamiatiinayowafikiana na makusudio ya Aayah. Tumefafanua baadhiyavipengele vinavyohitajia kufafanuliwa kama masaail yaki-‘Aqiydahna kadhalika. Tumeweka sababu za kuteremshwa baadhi yaAayah auSuwrah na mafunzo yanayopatikana. Tumetaja An-Naasikh(kinachofuta)na Al-Mansuwkh (kinachofutwa) pale tulipoweza. Kaziyoyote ya mwanaAadam bila shaka haikosi kasoro, nasi kwa Tawfiyq yaAllaahtumejitahidi kiasi cha uwezo wetu kuepuka hilo. Tunamwombayeyoteatakayegundua kosa, au kasoro, au mponyoko wowote ndani yaTarjamahii, asisite kutujulisha haraka awezavyo, nasi tutashukurukwahilo. Atujulishe kupitia barua yetu pepe:[email protected] Allaah (سبحانه وتعالى) kwa FadhilaZake, Ukarimu Wake,Upaji Wake, na Ihsani Yake, Atutakabalie kazihii, hakika Yeye niMpaji Mno na Mkarimu Mno.