1.0 / April 27, 2014
(4.5/5) (335)

Description

  بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمن الرَّحيم Kwa Jina La MwenyeziMunguMwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu (Akhera) UTANGULIZI Hakika sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu,tunamsifu,tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah, tunamuombaAtuhifadhi nashari za nafsi zetu, na maovu ya matendo yetu.AnayemuongozaMwenyezi Mungu hapana wa kumpoteza, na Anayempoteza,hapana wa wakumuongoza.  Nakiri kwamba, hapana apasayekuabudiwa ilaMwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke Yake, hana mshirika,naninakiri kwamba Muhammad ni mja Wake naniMtume Wake. Mwenyezi Mungu Amrehemu na Awarehemu jamaa zakenaMaswahaba zake na wanaowafuata hao kwa wema mpaka sikuyamalipo na Amsalimishe kwa amani nyingi. Baada ya yaliyotanguliahuuni ufupi (Mukhtasar) wa kitabu kiitwacho “HISWN AL-MUSLIMMINADHKAAR AL-KITAAB WA SUNNAH” Ninamuomba Mwenyezi Mungu kwamajinaYake mazuri, na sifa Zake zilizo juu, Ajaaliye kazi hiikuwa,imesafika  lengo lake, kwa kutaka radhi zake MwenyeziMunguMtukufu, na Aninufaishe kwa hayo katika uhai wangu huu, nabaada yakufa, na Amnufaishe atakayekisoma, kukichapisha, aualiyekuwa nisababu ya kukitawanya, hakika  Yeye  MwenyeziMunguNdiye  Muweza. Mwenyezi Mungu Amrehemu Mtume wetuMuhammad صلىالله عليه وسلم na Aali zake na Maswahaba wake nawanaowafuatahao, kwa wema mpaka siku ya malipo.

App Information Kinga ya Muislamu

  • App Name
    Kinga ya Muislamu
  • Package Name
    com.kinga.book.AOUTPDNMXEZAAPHOGH
  • Updated
    April 27, 2014
  • File Size
    668k
  • Requires Android
    Android 1.6 and up
  • Version
    1.0
  • Developer
    Mahmoud Al-Asmi
  • Installs
    100,000+
  • Price
    Free
  • Category
    Books & Reference
  • Developer
    POX 2736 postal code 111 Seeb Oman
  • Google Play Link

Kinga ya Muislamu Version History

Select Kinga ya Muislamu Version :
  • 1.0 (1) - Latest Version
  • Kinga ya Muislamu 1.0 APK File

    Publish Date: 2016 /2/23
    Requires Android: Android 1.6+ (Donut, API: 4)
    File Size: 668.3 kB
    Tested on: Android 1.6 (Donut, API: 4)
    File Sha1: 90b53b02d91262b8f9ad7b31d2d86f3387b434dd
    APK Signature: 3f26f05d9cba09b2241a08d5b38b62ec4870003e

Mahmoud Al-Asmi Show More...

Dua na Adhkaar za Muislamu 1.0 APK
Dua na Adhkaar za Muislamu anazo hitajia kilasiku.
Adhkar za asubuhi na jioni 1.0 APK
Adhkar za asubuhi na jioni (nyiradi za asubuhi na jioni).
Visa vya walio silimu 0.0.1 APK
True stories za walio silimu
Maisha ya Mtume saw 1 APK
Maisha ya Mtume Muhammad saw kwa njia ya Utenzi (Mashairi)
Tafsiri ya Quran kwa Kiswahili 1.0 APK
Tafsiri ya Quran Tukufu kwa Kiswahili kwa Sauti (Aya Kwa Aya)
أسماء الله الحسنى 1.0 APK
شرح أسماء الله الحسنى