Top 7 Apps Similar to Hadith 40 za Mtume saw

Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 3.0
BONGOCLASS
Read the history and life of Prophet Muhammad (s.a.w)
KITABU CHA DUA 3.0
BONGOCLASS
Learn how to pray an acceptable supplication in accordance withtheteachings of Islam.
Kinga ya Muislamu 1.0
  بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمن الرَّحيم Kwa Jina LaMwenyeziMunguMwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu(Akhera) UTANGULIZI Hakika sifa njema zote ni za MwenyeziMungu,tunamsifu,tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah,tunamuombaAtuhifadhi nashari za nafsi zetu, na maovu ya matendoyetu.AnayemuongozaMwenyezi Mungu hapana wa kumpoteza, naAnayempoteza,hapana wa wakumuongoza.  Nakiri kwamba, hapanaapasayekuabudiwa ilaMwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke Yake, hanamshirika,naninakiri kwamba Muhammad ni mjaWake naniMtume Wake. Mwenyezi Mungu Amrehemu na Awarehemujamaa zakenaMaswahaba zake na wanaowafuata hao kwa wemampaka sikuyamalipo na Amsalimishe kwa amani nyingi. Baada yayaliyotanguliahuuni ufupi (Mukhtasar) wa kitabu kiitwacho “HISWNAL-MUSLIMMINADHKAAR AL-KITAAB WA SUNNAH” Ninamuomba Mwenyezi MungukwamajinaYake mazuri, na sifa Zake zilizo juu, Ajaaliye kazihiikuwa,imesafika  lengo lake, kwa kutaka radhi zakeMwenyeziMunguMtukufu, na Aninufaishe kwa hayo katika uhai wanguhuu, nabaada yakufa, na Amnufaishe atakayekisoma, kukichapisha,aualiyekuwa nisababu ya kukitawanya, hakika  Yeye MwenyeziMunguNdiye  Muweza. Mwenyezi Mungu Amrehemu MtumewetuMuhammad صلىالله عليه وسلم na Aali zake na Maswahaba wakenawanaowafuatahao, kwa wema mpaka siku ya malipo.
Bible in Swahili, Biblia Takat 8.9.5
Nippt
Get the most popular Swahili Bible for your android devices.
Swahili kamusi 1.18
English Swahili dictionary - Kiingereza Kiswahili borakamusitafsiri
Nyimbo Za Kristo 2 . 2 . 5
Nakala ya nyimbo za ibada za waadventista wasabato kwa lughayakiswahili.
Biblia Takatifu, Swahili Bible 2.0.14
Robert Londo
Swahili Bible, Biblia Takatifu - Read or listen to offlineAudioBible