BONGOCLASS Apps
Aina za talaka na Eda 1.0
Kitabu hiki kimeandaliwa ili kukupa mafunzo juu ya Hukumu zatalakakatika uislamu. Hapa utajifunza mambo mengi baadhi yao nikama:- 1.Nini maana ya Talaka na Eda 2. ni zipi aina za talaka naEda 3.nani anafaa kutalikiwa 4. nani anatakiwa akae Eda? 5. Muda wakukaaEda 6. Eda ya Mwenye ujauzito 7. Talaka ya mjamzito 8. Hukumuyakumtaliki mwanamke akiwa katika siku zake 9. Eda yamwanamkealiyefiwa 10. Hukumu ya talaka ya mlevi Pia utajifunzamengi zaidi.Kwa maoni na mapendekezo usiwache kuwasiliana nasi.