1.17 / June 5, 2017
(4.6/5) (203)

Description

Simba Sports Club ni timu ya mpira wa miguuyenye makao makuu jijini Dar essalaa. Michezo yake ya Nyumbani huwainachezwa kwenye uwanja wa Uhuru au Uwanja waTaifa. Simba ni katiya timu mbili kubwa zenye mashabiki wengi Nchini Tanzania.

Klabu hii ilianzishwa mwaka 1936, Kabla ya kujulikana kama SimbaSports Club iliwahi kuitwa Queens, Eagles na baadaye Sunderland,mwaka 1971 Simba Sports Club ilibadilisha jina na kuitwa SimbaSports Club.

Katika mashindano ya kimataifa, Simba SC ndio timu pekee nchiniTanzania iliyowahi kufika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993 baadaya kupoteza mechi dhidi ya Stella Abijanya Ivory Coast.

Pia Simba SC imekuwa na matokeo mazuri katika mashindano makubwaikiwemo kuitoa mashindanoni Zamalek ya Misri ambao walikuwamabingwa wa CAF 2003 na kuingia kwenye makundi ya mashindano hayo.Kabla ya kuitoa Santos ya Afrika ya Kusini.
Simba SC huvaa jezi nyekundu au nyeupe.

App Information Simba SC Official

EAG Group Show More...

Simba SC Official 1.17 APK
EAG Group
Simba Sports Club ni timu ya mpira wa miguuyenye makao makuu jijini Dar essalaa. Michezo yake ya Nyumbani huwainachezwa kwenye uwanja wa Uhuru au Uwanja waTaifa. Simba ni katiya timu mbili kubwa zenye mashabiki wengi Nchini Tanzania.Klabu hii ilianzishwa mwaka 1936, Kabla ya kujulikana kama SimbaSports Club iliwahi kuitwa Queens, Eagles na baadaye Sunderland,mwaka 1971 Simba Sports Club ilibadilisha jina na kuitwa SimbaSports Club.Katika mashindano ya kimataifa, Simba SC ndio timu pekee nchiniTanzania iliyowahi kufika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993 baadaya kupoteza mechi dhidi ya Stella Abijanya Ivory Coast.Pia Simba SC imekuwa na matokeo mazuri katika mashindano makubwaikiwemo kuitoa mashindanoni Zamalek ya Misri ambao walikuwamabingwa wa CAF 2003 na kuingia kwenye makundi ya mashindano hayo.Kabla ya kuitoa Santos ya Afrika ya Kusini.Simba SC huvaa jezi nyekundu au nyeupe.