1.0 / July 27, 2016
(4.4/5) (30)

Description

KILIMO KINALIPA SANA
VISION
KUTOA ELIMU BORA KWA VITENDO YA KILIMO NA BIASHARA KWA VIJANAWATANZANIA.
MISSION
KUTENGENEZA MFUMO IMARA WA KUONDOA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANAKWAKUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA KISASA KWA KUONGEZA THAMANI YA MAZAOYAKILIMO NA VILEVILE KUONDOA KABISA TATIZO LA NJAA TANZANIA.
MALENGO YETU:
1. KUTOA ELIMU BORA YA KILIMO KWA VITENDO KWA VIJANAWATANZANIA
2. KUANDAA WAKURUGENZI (CEOS) KATIKA KILIMO AMBAOWATATENGENEZAAJIRA KWA WATANZANIA.
3. KUTENGENEZA SOKO LA TIJA KWA WAKULIMA NCHINI
4. KUTENGENEZA NA KUANZISHA CHAMA IMARA CHA WAKULIMA TANZANIA
5. KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA KILIMO KUPITIA VIWANDA
6. KUTAFUTA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI ILI KUKIDHI UZALISHAJIWAMAZAO YA KILIMO
7. KUTAFUTA TEKINOLOJIA YA KISASA KATIKA SEKTA YA KILIMO
8. KUUNGANISHA VIJANA WOTE TANZANIA WANAOLIMA.

SHUGHULI ZA KKS
1. KUTOA ELIMU YA KILIMO KWA WATANZANIA
2. KULIMA MATIKITI, NYANYA, VITUNGUU, MAPAPAI, HOHONAPARACHICHI
3. KUFUGA KUKU WA MAYAI (LAYERS), NYAMA (BROILER) NA KUKUWAKIENYEJI
4. KUINGIA UBIA NA WADAU WA PEMBEJEO ILI KUWASAMBAZIA WANACHAMAWETUWA FACEBOOK PAGE, WHATSAPP GROUP NA WANAOFIKA OFISINI

TUNAAMINI:
1. WAKURUGENZI ( CEOS) WAJAO WATATOKA KWENYE SEKTA YA KILIMO
2. KILIMO PEKEE KITAONDOA TATIZO LA AJIRA, NA KILA KIJANAANAWEZAKUPATA KAZI KUPITIA KILIMO
3. NCHI YETU HAITAKUMBWA NA TATIZO NJAA KAMA TUTAWEKEZAKWENYEKILIMO
4. UCHUMI WA NCHI YETU UTAKUA KWA KASI KUBWA KUTOKANA NA KILIMOCHATIJA
5. TUNAAMINI KILA KIJANA ANAO UWEZO WA KUWA TAJIRI KAMAATAWEKEZAKWENYE KILIMO NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ZAKE ZOTE.
6. TUNAAMINI SERIKALI YETU ITASAIDIA VIJANA KATIKA KUWEKEZAKWENYEKILIMO.
7. TUNAAMINI KWA TAARIFA SAHIHI ZA KILIMO NA TAFITIZITASAIDIAVIJANA KULIMA KWA TIJA
8. TUNAAMINI NCHI YETU IMEBARIKIWA NA KILA AINA YA RASILIMALINATUTAZITUMIA VIZURI KUWEKEZA KATIKA KILIMO.

App Information Kilimo Kinalipa Sana

  • App Name
    Kilimo Kinalipa Sana
  • Package Name
    com.kilimokinalipa
  • Updated
    July 27, 2016
  • File Size
    Undefined
  • Requires Android
    Android 4.0 and up
  • Version
    1.0
  • Developer
    BONGOTECH COMMUNICATION LTD
  • Installs
    1,000 - 5,000
  • Price
    Free
  • Category
    Education
  • Developer
    Visit website Email [email protected]
    P.O BOX 100268, Dar es Salaam. Tanzania.
  • Google Play Link

BONGOTECH COMMUNICATION LTD Show More...

Habari Kwanza 1.2 APK
Habari kwanza ni mtandao ulioasisiwaTanzaniana wanahabari wenye adhma ya kukupasha habari popote paleulipo kwakutumia mtandao.Kupitia hapa utaweza kujua habari na matukio mbalimbaliyanayojiri kila siku ulimwenguni pamoja na makala mbali mbalizakijamii lakini pia michezo.Unaweza kuwasiliana na sisi kupitia namba zifuatazo.077484880006527290610715290303
Tanuru la Fikra 1.4 APK
Tanuru la Fikra ni "brand" ya kampuni yaTanuru Media
Kilimo Kinalipa Sana 1.0 APK
KILIMO KINALIPA SANAVISIONKUTOA ELIMU BORA KWA VITENDO YA KILIMO NA BIASHARA KWA VIJANAWATANZANIA.MISSIONKUTENGENEZA MFUMO IMARA WA KUONDOA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANAKWAKUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA KISASA KWA KUONGEZA THAMANI YA MAZAOYAKILIMO NA VILEVILE KUONDOA KABISA TATIZO LA NJAA TANZANIA.MALENGO YETU:1. KUTOA ELIMU BORA YA KILIMO KWA VITENDO KWA VIJANAWATANZANIA2. KUANDAA WAKURUGENZI (CEOS) KATIKA KILIMO AMBAOWATATENGENEZAAJIRA KWA WATANZANIA.3. KUTENGENEZA SOKO LA TIJA KWA WAKULIMA NCHINI4. KUTENGENEZA NA KUANZISHA CHAMA IMARA CHA WAKULIMA TANZANIA5. KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA KILIMO KUPITIA VIWANDA6. KUTAFUTA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI ILI KUKIDHI UZALISHAJIWAMAZAO YA KILIMO7. KUTAFUTA TEKINOLOJIA YA KISASA KATIKA SEKTA YA KILIMO8. KUUNGANISHA VIJANA WOTE TANZANIA WANAOLIMA.SHUGHULI ZA KKS1. KUTOA ELIMU YA KILIMO KWA WATANZANIA2. KULIMA MATIKITI, NYANYA, VITUNGUU, MAPAPAI, HOHONAPARACHICHI3. KUFUGA KUKU WA MAYAI (LAYERS), NYAMA (BROILER) NA KUKUWAKIENYEJI4. KUINGIA UBIA NA WADAU WA PEMBEJEO ILI KUWASAMBAZIA WANACHAMAWETUWA FACEBOOK PAGE, WHATSAPP GROUP NA WANAOFIKA OFISINITUNAAMINI:1. WAKURUGENZI ( CEOS) WAJAO WATATOKA KWENYE SEKTA YA KILIMO2. KILIMO PEKEE KITAONDOA TATIZO LA AJIRA, NA KILA KIJANAANAWEZAKUPATA KAZI KUPITIA KILIMO3. NCHI YETU HAITAKUMBWA NA TATIZO NJAA KAMA TUTAWEKEZAKWENYEKILIMO4. UCHUMI WA NCHI YETU UTAKUA KWA KASI KUBWA KUTOKANA NA KILIMOCHATIJA5. TUNAAMINI KILA KIJANA ANAO UWEZO WA KUWA TAJIRI KAMAATAWEKEZAKWENYE KILIMO NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ZAKE ZOTE.6. TUNAAMINI SERIKALI YETU ITASAIDIA VIJANA KATIKA KUWEKEZAKWENYEKILIMO.7. TUNAAMINI KWA TAARIFA SAHIHI ZA KILIMO NA TAFITIZITASAIDIAVIJANA KULIMA KWA TIJA8. TUNAAMINI NCHI YETU IMEBARIKIWA NA KILA AINA YA RASILIMALINATUTAZITUMIA VIZURI KUWEKEZA KATIKA KILIMO.