hourglass_full Your download should start automatically in a few seconds...

Download Kilimo Kinalipa Sana_Latest Version.apk from Apk-Dl Server

Thank you for using Apk-Dl.com to download the apk file (Kilimo Kinalipa Sana_Latest Version.apk),

If the download doesn't start automatically in a few seconds, please click here to access the download URL directly.

Note: Download and save the apk file to your Android Phone's SD card and install it manually onto the Android device.

Description

KILIMO KINALIPA SANA
VISION
KUTOA ELIMU BORA KWA VITENDO YA KILIMO NA BIASHARA KWA VIJANAWATANZANIA.
MISSION
KUTENGENEZA MFUMO IMARA WA KUONDOA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANAKWAKUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA KISASA KWA KUONGEZA THAMANI YA MAZAOYAKILIMO NA VILEVILE KUONDOA KABISA TATIZO LA NJAA TANZANIA.
MALENGO YETU:
1. KUTOA ELIMU BORA YA KILIMO KWA VITENDO KWA VIJANAWATANZANIA
2. KUANDAA WAKURUGENZI (CEOS) KATIKA KILIMO AMBAOWATATENGENEZAAJIRA KWA WATANZANIA.
3. KUTENGENEZA SOKO LA TIJA KWA WAKULIMA NCHINI
4. KUTENGENEZA NA KUANZISHA CHAMA IMARA CHA WAKULIMA TANZANIA
5. KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA KILIMO KUPITIA VIWANDA
6. KUTAFUTA SOKO NDANI NA NJE YA NCHI ILI KUKIDHI UZALISHAJIWAMAZAO YA KILIMO
7. KUTAFUTA TEKINOLOJIA YA KISASA KATIKA SEKTA YA KILIMO
8. KUUNGANISHA VIJANA WOTE TANZANIA WANAOLIMA.

SHUGHULI ZA KKS
1. KUTOA ELIMU YA KILIMO KWA WATANZANIA
2. KULIMA MATIKITI, NYANYA, VITUNGUU, MAPAPAI, HOHONAPARACHICHI
3. KUFUGA KUKU WA MAYAI (LAYERS), NYAMA (BROILER) NA KUKUWAKIENYEJI
4. KUINGIA UBIA NA WADAU WA PEMBEJEO ILI KUWASAMBAZIA WANACHAMAWETUWA FACEBOOK PAGE, WHATSAPP GROUP NA WANAOFIKA OFISINI

TUNAAMINI:
1. WAKURUGENZI ( CEOS) WAJAO WATATOKA KWENYE SEKTA YA KILIMO
2. KILIMO PEKEE KITAONDOA TATIZO LA AJIRA, NA KILA KIJANAANAWEZAKUPATA KAZI KUPITIA KILIMO
3. NCHI YETU HAITAKUMBWA NA TATIZO NJAA KAMA TUTAWEKEZAKWENYEKILIMO
4. UCHUMI WA NCHI YETU UTAKUA KWA KASI KUBWA KUTOKANA NA KILIMOCHATIJA
5. TUNAAMINI KILA KIJANA ANAO UWEZO WA KUWA TAJIRI KAMAATAWEKEZAKWENYE KILIMO NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ZAKE ZOTE.
6. TUNAAMINI SERIKALI YETU ITASAIDIA VIJANA KATIKA KUWEKEZAKWENYEKILIMO.
7. TUNAAMINI KWA TAARIFA SAHIHI ZA KILIMO NA TAFITIZITASAIDIAVIJANA KULIMA KWA TIJA
8. TUNAAMINI NCHI YETU IMEBARIKIWA NA KILA AINA YA RASILIMALINATUTAZITUMIA VIZURI KUWEKEZA KATIKA KILIMO.