Top 3 Apps Similar to Kauli za Salafi

Mahaasin TV 1.8
MahaasinTv is an Islamic Organisation which was established on 2012
Kinga ya Muislamu 1.0
  بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمن الرَّحيم Kwa Jina LaMwenyeziMunguMwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu(Akhera) UTANGULIZI Hakika sifa njema zote ni za MwenyeziMungu,tunamsifu,tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah,tunamuombaAtuhifadhi nashari za nafsi zetu, na maovu ya matendoyetu.AnayemuongozaMwenyezi Mungu hapana wa kumpoteza, naAnayempoteza,hapana wa wakumuongoza.  Nakiri kwamba, hapanaapasayekuabudiwa ilaMwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke Yake, hanamshirika,naninakiri kwamba Muhammad ni mjaWake naniMtume Wake. Mwenyezi Mungu Amrehemu na Awarehemujamaa zakenaMaswahaba zake na wanaowafuata hao kwa wemampaka sikuyamalipo na Amsalimishe kwa amani nyingi. Baada yayaliyotanguliahuuni ufupi (Mukhtasar) wa kitabu kiitwacho “HISWNAL-MUSLIMMINADHKAAR AL-KITAAB WA SUNNAH” Ninamuomba Mwenyezi MungukwamajinaYake mazuri, na sifa Zake zilizo juu, Ajaaliye kazihiikuwa,imesafika  lengo lake, kwa kutaka radhi zakeMwenyeziMunguMtukufu, na Aninufaishe kwa hayo katika uhai wanguhuu, nabaada yakufa, na Amnufaishe atakayekisoma, kukichapisha,aualiyekuwa nisababu ya kukitawanya, hakika  Yeye MwenyeziMunguNdiye  Muweza. Mwenyezi Mungu Amrehemu MtumewetuMuhammad صلىالله عليه وسلم na Aali zake na Maswahaba wakenawanaowafuatahao, kwa wema mpaka siku ya malipo.
The Review of Religions 1.0.30
The official app for The Review of Religions magazine