0.0.1 / July 10, 2016
(4.4/5) (23)

Description

Kuzozana sio makusudio ya kuandika Risala hii. Makusudio ya hakikani kutaka kuwapa mwangaza Wakristo na Waislamu ambao katika sehemunyingi za ulimwengu inawapasa waishi kama ni wananchi wamoja najirani. Inatumainiwa pindi wakinawirika, na kila mmoja akaifahamuvyema misingi ya imani ya mwenziwe, wote watakuja thamini ulemsingi mmoja unaowaunga wote kwenye Imani ya asli, nayo ndiyo Diniya Ulimwengu mzima inayofunza kila mwanaadamu ajisalimu kwaukamilifu wake kwenye mapenzi ya Mwenyezi Mungu Mmoja wa kweli,kwani hapo ndipo unapotegemea mwendo mwema wa binaadamu.

App Information Wacha Biblia Iseme

  • App Name
    Wacha Biblia Iseme
  • Package Name
    com.asmi.Bibliaiseme
  • Updated
    July 10, 2016
  • File Size
    3.5M
  • Requires Android
    Android 4.0 and up
  • Version
    0.0.1
  • Developer
    Mahmoud Al-Asmi
  • Installs
    5,000+
  • Price
    Free
  • Category
    Books & Reference
  • Developer
    POX 2736 postal code 111 Seeb Oman
  • Google Play Link

Mahmoud Al-Asmi Show More...

Dua na Adhkaar za Muislamu 1.0 APK
Dua na Adhkaar za Muislamu anazo hitajia kilasiku.
Adhkar za asubuhi na jioni 1.0 APK
Adhkar za asubuhi na jioni (nyiradi za asubuhi na jioni).
Visa vya walio silimu 0.0.1 APK
True stories za walio silimu
Maisha ya Mtume saw 1 APK
Maisha ya Mtume Muhammad saw kwa njia ya Utenzi (Mashairi)
Tafsiri ya Quran kwa Kiswahili 1.0 APK
Tafsiri ya Quran Tukufu kwa Kiswahili kwa Sauti (Aya Kwa Aya)
أسماء الله الحسنى 1.0 APK
شرح أسماء الله الحسنى