Top 19 Apps Similar to Katiba ya Tanzania

English Swahili Dictionary 9.2.4
Both English to Swahili And Swahili to English Offline Dictionary
Swahili To English Dictionary 1.7
Apps Universe
Swahili To English Dictionary with more than 25,000+ English words.
Swahili Dictionary 2.0
It is simple Swahili Dictionary, itcontainmore than 70k English-Swahili wordsIt contain several feature like1) Offline, no need to internet connection2) History- Auto-save so you can find already searched words3) Favorite - You can select word as a favorite so you can finditeasily4) Setttings - you can change font size, English and it'smeaningword Color
Qurani (Qur'an) in Swahili 1.0
Quran books
Qurani (Qur'an) (Quran katika Kiswahili)Qur'an (kwa Kiarabu: القرآن) ni kitabu kitukufu chaUislamu.Qur'an inatazamiwa na Waislamu kama "Neno la Allah(MwenyeziMungu)". Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na maandiko yavitabuvya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwambakimeandikwamoja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake wamwisho,Muhammad.Lugha na tafsiriImeandikwa na kusomwa kwa lugha ya Kiarabu pekee kwa zaidi yamiaka1,400.Kadiri ya Qurani (42:8), Mungu alimuambia Muhammad: "Na namnahivitumekufunulia Qurani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka nawaliopembeni mwake"Lakini, kwa vile leo Waislamu walio wengi ulimwengunihawajuiKiarabu, maana halisi ya Qur'an hutolewa kwa lugha nyingine,hivyokupelekea wasomaji kuelewa vyema yale maneno ya KiarabukwenyeQur'an yana maana gani. Vitabu hivyo ni kama kamusi kwa ajiliyaQur'an - hawavisomi hivi kama moja ya sehemu ya Quran tukufunaWaislam, ili kuwa badala ya Quran ya Kiarabu.Waislamu wengi wanaamini kwamba tafsiri ile siyo ya Qur'an tukufunawala siyo ya kweli; ni kopi ya Kiarabu tu iliyotolewa kwenyeQur'anya kweli.Waislamu wanaamini kwamba Qur'an tukufu mtume Muhammad alipewanamalaika Jibrīl kwenye pango la mlima Hira, kwa kipindi cha zaidiyamiaka ishirini na tatu hadi mauti wake ilipomfikia.Qur'an tukufu haikuwa kitabu cha maandiko wakati wa uhai wamtumeMuhammad; iliwekwa kwa mawasiliano ya kimdomo tu. Bimaana,watuwalihifadhi kichwani.Mtume labda hakuwa anajua kusoma wala kuandika, lakini kwa mujibuwaWaislamu, swahaba wake Abu Bekr alikuwa akiandika maandiko yalejuuya kitu fulani wakati huo mtume Muhammad yu hai. Pale AbuBekralipokuja kuwa khalifa, ameileta Qur'an na kuwakitabukitakatifu.Uthman, ambaye ni khalifa wa tatu, ameondoa vipengeleambavyovilikuwa havihusiani na Qur'an tukufu.Elementi, Sura, Mistari, AyaKuna sehemu 30 katika Qur'an, ambayo inafanya kuwa na sura 114.Kilasura ina namba tofauti ya mistari.Kwa mujibu wa mafunzo ya Kiislam, sura 86 kati ya hizizimeshukamjini Makka, sura 24 kati ya hizi zimeshuka mjiniMadina.Miongoni mwa sura zilizoshushwa mjini Medina ni pamoja naAl-Baqara,Al Imran, Al-Anfal, Al-Ahzab, Al-Ma'ida, An-Nisa,Al-Mumtahina,Az-Zalzala, Al-Hadid, Muhammad , Ar-Ra'd, Ar-Rahman,At-Talaq,Al-Bayyina, Al-Hashr, An-Nasr, An-Nur, Al-Hajj,Al-Munafiqun,Al-Mujadila, Al-Hujraat, At-Tahrim, At-Taghabun,Al-Jumua, As-Saff,Al-Fath, At-Tawba, Al-Insan.Mahusiano baina Qur'an na BibliaKatika Qu'ran tukufu, inasomwa kwamba Wayahudi na Wakristopiahuamini Mungu wa kweli. Dini hizi pamoja na Uislamu huitwazaAbrahamu kwa sababu ya mahusiano haya.Kuna baadhi ya kurasa za Qu'ran zinazoelezea habari za mambo yawatuwa katika Biblia. Kwa mfano watu wa katika Biblia waliotajwakwenyeQu'ran ni pamoja na Adamu, Nuhu, Abraham, Lutu, Ismaili,Yakobo,Yosefu, Haruni, Musa, mfalme Daudi, Solomoni, Elisha, Yona,Yobu,Zakaria, Yohane Mbatizaji, Bikira Maria na Yesu.Hata hivyo, kuna tofauti za muhimu kabisa baina ya Uislamu natoleola Biblia katika kuelezea habari za aina moja. Kwa mfano,Qu'rantukufu inaelezea kwamba Yesu Kristo si Mwana wa Mungu, kamajinsiWakristo wanavyoamini; kwa Waislamu, alikuwa nabiitu,anayeheshimiwa kwa jina la Isa bin Mariamu.Uislamu unafundisha kwamba haya yanatokea kwa sababu maandikoyaawali ya Biblia yamepotea na hivyo kuna baadhi yawatuwameyabadilisha. Lakini nje ya Qu'ran hakuna uthibitishowafundisho hilo.Qur'an(Qur'an) (Quran in Swahili)Qur'an (Arabic: القرآن) is the holy book of Islam. Qur'anisexpected by Muslims as the "Word of God (Allah)". This bookiscompletely different to them and the writings of otherreligiousbooks that can be trusted because it was written directlyby God,through His last prophet, Muhammad.Language and translationWritten and read in Arabic only for over 1,400 years.According to the Qur'an (42:8), God said to Muhammad: "And thusWehave revealed to you the Qur'an in Arabic to warn people ofMakkahand those around him"But, since today many Muslims around the world do notunderstandArabic, the real meaning of the Qur'an is provided forotherlanguages, thus leading readers to better understand Arabicwordsin the Qur'an mean. These books are like dictionaries fortheQur'an - do not read this as one part of the Qur'an and Muslims,sothat instead of the Quran in Arabic.Many Muslims believe that the interpretation of the Qur'an isnotnot true and it is a copy of the Quran Arabic only provided ontheright.Muslims believe that the Qur'an was given to Muhammad bytheangel Gabriel in the cave of Mount Hira, for overtwenty-threeyears until his death ilipomfikia.The Qur'an was not a book of scripture during the life oftheProphet Muhammad, was placed in contact kimdomo only.Bimaana,people were storing on the head.Messenger may not be able to read or write, but according toIslam,his companion Abu Bekr was writing the writing on somethingthattime Muhammad was alive. When Abu Bekr that the caliph came,hebrought the Qur'an to be sacred book.Uthman, the third caliph who is, has removed features that werenotspecifically related to the Holy Qur'an.Elements, Chapter, Verse, VerseThere are 30 places in the Qur'an, which makes it a frame 114.Eachchapter has a different number of lines.According to Islamic teaching, chapter 86 of these have declinedinMecca, chapter 24 of these have declined in Medina.Among the chapters in Medina zilizoshushwa include Al-Baqara,AlImran, Al-Anfal, Al-Ahzab, Al-Maida, An-Nisa,Al-Mumtahina,Az-Zalzala, Al-Hadid, Muhammad, Ar- Ra'd, Ar-Rahman,At-Talaq,Al-Bayyina, Al-Hashr, An-Nasr, An-Nur, Al-Hajj,Al-Munafiqun,Al-Mujadila, Al-Hujraat, At-Tahrim, At- Taghabun,Al-Jumua,As-Saff, Al-Fath, At-repentance, Al-Insan.Relations between the Qur'an and the BibleIn Glorious Qu'ran, is presented to that Jews and Christiansalsobelieve the true God. These religions as well as Islam arecalledto Abraham because of these relationships.There are some pages that describe Qu'ran concerning the peopleofthe Bible. For example in the Bible of people listed on theQu'raninclude Adam, Noah, Abraham, Lot, Ishmael, Jacob, Joseph,Aaron,Moses, King David, Solomon, Elisha, Jonah, Job, Zechariah,John theBaptist, the Virgin Mary and Jesus.However, there are quite important differences between Islamandversion of the Bible in describing the story of the same type.Forexample, the glorious Qu'ran explains that Jesus Christ is nottheSon of God, just as Christians believe, for Muslims, he was justaprophet, who is honored in the name of Jesus the son ofMary.Islam teaches that this is happening because the original textsofthe Bible have been lost and so there are some people havechanged.But out of the Qu'ran there is no proof of thatdoctrine.
English To Swahili Dictionary 1.13
AVIKA
18,000+ English words with Swahili meanings.
Katiba Teule Ya Tanzania 1.165
Draft ya mwisho ya katiba iliyopitishwa naRaiskama katiba pendekezi. Hii ni katiba inayotarajiwa kuwambadala wakatiba ya sasa yaTanzania(https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.co.yetu.katiba.katiba&hl=en).Imeshehenitools mbalimbali kama search, kumbukumbu,toa ibaraulizokwisha somaau usizotaka kusoma tena , kubadilisha ukubwa wamaandishi,kubadiliha lugha (english/swahili) na kadhalika. Yotehaya katikanjia nzuri kwako wewe kutumia app hii. Pia ipocompatible na tabletsau screen yoyote kubwa/ tv.Kukuwezesha kusoma katiba hii unaombwa kuchangia angalau Tsh 5000nakuendelea.
Quran in Swahili
vdru
Quran katika Kiswahili - Quran in Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Hadith 40 za Mtume saw 1.0
Hadith 40 za Mtume saw kutoka kitabu cha Imam Anawawi namaanayakekwa Kiswahili.
Holy Quran with Tafsir 3.5.19
Hakem Zaied
Holy Quran allows reading, listening for different reciters,Tafsirand search.
Kinga ya Muislamu 1.0
  بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمن الرَّحيم Kwa Jina LaMwenyeziMunguMwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu(Akhera) UTANGULIZI Hakika sifa njema zote ni za MwenyeziMungu,tunamsifu,tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah,tunamuombaAtuhifadhi nashari za nafsi zetu, na maovu ya matendoyetu.AnayemuongozaMwenyezi Mungu hapana wa kumpoteza, naAnayempoteza,hapana wa wakumuongoza.  Nakiri kwamba, hapanaapasayekuabudiwa ilaMwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke Yake, hanamshirika,naninakiri kwamba Muhammad ni mjaWake naniMtume Wake. Mwenyezi Mungu Amrehemu na Awarehemujamaa zakenaMaswahaba zake na wanaowafuata hao kwa wemampaka sikuyamalipo na Amsalimishe kwa amani nyingi. Baada yayaliyotanguliahuuni ufupi (Mukhtasar) wa kitabu kiitwacho “HISWNAL-MUSLIMMINADHKAAR AL-KITAAB WA SUNNAH” Ninamuomba Mwenyezi MungukwamajinaYake mazuri, na sifa Zake zilizo juu, Ajaaliye kazihiikuwa,imesafika  lengo lake, kwa kutaka radhi zakeMwenyeziMunguMtukufu, na Aninufaishe kwa hayo katika uhai wanguhuu, nabaada yakufa, na Amnufaishe atakayekisoma, kukichapisha,aualiyekuwa nisababu ya kukitawanya, hakika  Yeye MwenyeziMunguNdiye  Muweza. Mwenyezi Mungu Amrehemu MtumewetuMuhammad صلىالله عليه وسلم na Aali zake na Maswahaba wakenawanaowafuatahao, kwa wema mpaka siku ya malipo.
Hadith Sahih Muslim 1.0
Quran books
Hadith Sahih Muslim in EnglishSahih Muslim is a collection of hadith compiled by ImamMuslimibn al-Hajjaj al-Naysaburi (rahimahullah). His collectionisconsidered to be one of the most authentic collections oftheSunnah of the Prophet, and along with Sahih al-Bukhari formsthe"Sahihain," or the "Two Sahihs."The translation provided by Abdul Hamid Siddiqui.Sunni Muslims regard this collection as the second mostauthenticof the six major hadith collections, containing onlysahih hadith,an honor it shares only with Sahih al-Bukhari, bothbeing referredto as the Two Sahihs. Shia Muslims (and some sunnis)dismiss some ofits contents as fabrications or untrustworthy dueto thequestionable reliability of some narratorsAmin Ahsan Islahi, the noted Islamic scholar, has summarizedsomeunique features of Sahih Muslim:1. Muslim ibn al-Hajjaj recorded only such narratives aswerereported by two reliable successors from two Sahabah(Companions ofMuhammad) which subsequently travelled through twoindependentunbroken isnāds consisting of sound narrators. Muhammadal-Bukharihas not followed such a strict criterion.2. Scientific arrangement of themes and chapters. The author,forexample, selects a proper place for the narrative and, next toit,puts all its versions. Muhammad al-Bukhari has not followedthismethod (he scatters different versions of a narrative andtherelated material in different chapters). Consequently, intheexercise of understanding ahādīth. Sahīh of Muslim ibnal-Hajjajoffers the best material to the students.3. Muslim ibn al-Hajjaj informs us whose wordings amongthenarrators he has used. For example he says: haddathanā fulānwafulān wallafz lifulān (A and B has narrated this hadīth to usandthe wording used here is by A). Similarly he mentions whether,in aparticular hadīth, the narrators have differed over thewordingseven over a single letter of zero semantic significance. Healsoinforms the readers if narrators have differed over aspecificquality, surname, relation or any other fact about anarrator inthe chain.
Mushaf - Quran Kareem 1.31
Wail Busaied
The intent of developing this program is to create acomprehensiveand free Quran application that serves all Muslims.***You will need to download the pages andsoundsseparately***This program features:* 100% correct Koran based on images of Madinah Mos'haf byKingFahad Complex for printing Quran* Six types of images: with borders and without, Mujawwad,blue,green and brown pages* Flip pages by slide or buttons* Reading in Lanscape or Portrait* Night reading option* Zoom in capability with ability to change pages insidezoommode* Settings Language: Arabic/English* 13 audio Qoran reciters: Ajmi, Muaqli, Shaatri,Hudhafi,Abdulbasit, Sudais, Basfar, Husari, Menshawi, Afasy,Ghamdi,Shuraim, Rafai* option to repeat Kuran audio by Aya, Sura, page, orcontinuousaudio recitation* option to add a timer in seconds between each Aya (to helpwithrecitation)* 10 audio tracks for prayers (Dou'a)* 3 books of Tafseer: Al-Saadi, Al-Muyassar, and Al-Jalalayn(ArabicOnly)* English translation based on Sahih International* Search by words in arabic or english* Copy Ayas from search page and pasting them in any program bylongpressing on the selected Aya* Copy sections of the books by long press* Add notes to each page with the possibility of hide/unhidethroughsettings* Bookmarks: static (reference location for future reading)anddynamic (saves the last page read)* Go to by Qur'an page, Sura, Hezb, Robo or Juz'* Option of keeping the screen On* Short cut to menu by long press on the page directly withouttheneed to click on menues* Hide/unhide header, buttons, and notes from Settings* Header bar disappear automatically after a few seconds* Display two pages at the same time in landscape mode (goodfortablets)* Option to make the index page as main page (through settingsthenrestart application)If you have any issues, please don't hesitate to contactmebefore down rating the application. Giving high rating willassistin spreading the program to more Muslims through the useoffeatured programs. Any suggestions to improve the applicationarewelcomed.The website for the program is:http://www.facebook.com/QuranKareemAndroidAppPlease do include me, my parents and my family inyourprayers.
Katiba ya Zanzibar(1984) 2010 1.04
Katiba ya Zanzibar ya 1984 toleo la 2010 ni katibampyailiyopitishwa na baraza la wawakilishi wa Zanzibar mwaka 2010nakupitishwa kama katiba mpya ya Zanzibar1984Zanzibar Constitution of 2010 is the version of thenewconstitution passed by the House of Representatives of Zanzibarin2010 and approved a new constitution Zanzibar
Swahili Quran 5.0
Following are the core features of this app:- Ayah Copy- Ayah Share- Designed to run on all versions of Android devices- Capable to render Unicode script perfectly- No additional font installation required- Best font in all available apps- Easy access to any Ayah- Layout - is very simple and is user friendly- History - every word you ever viewed is stored in history- Text size and color customization- Support for both phone and tabletMore facilities... Check it yourself and give feedbackforimprovement.
Rasimu 1.01
Rasimu ya kwanza ya katiba ya Tanzania ya2013.Hii inakuwezesha kusoma na kushare ibara za rasimu ya katibayaTanzania ambayo nii mfano wa katiba mpya ambayoinatarajikutengenezwa. Pia kuna katiba ya tanzania application hapagoogleplay unaweza kutumia application hizi mbili kufanyaupembuziyakinifu!The first draft oftheConstitution of Tanzania of 2013. This lets you read andsharearticles of the draft constitution of Tanzania which istypicallyan example of a new constitution which inataraji made.Also thereTanzanian constitution google application here can playusing thesetwo application feasible!
English Swahili dictionary 1.104
vdru
English - Swahili and Swahili - English dictionary
Rasimu II ya Katiba 1.01
Rasimu II ya katiba mpya ya Tanzaniainakupatiatoleo la mwisho la rasimu ya katiba ya tanzaniainayotegemeakutengenezwa mwakani. inakupatia experience ile ile yakatiba yaTanzania na rasimu ya kwanza, Soma rasimu kwa sura au kwaibara,share na ndugu zako au watanzaniia wenzako katika mitandaoyakijamii ibara za rasimu, share kwa ujumbe mfupi wa sms hatakwawatanzania wasiokua na smartphones au wale wa vijijini kuhusuibaraflani ambayo unadhani wana haja ya kuijua either kuipingailikuomba marekebisho au kuipongeza. Na mengi mengineyo
Bible in Swahili, Biblia Takat 8.9.5
Nippt
Get the most popular Swahili Bible for your android devices.
Tafsir Ibne Kathir - Arabic 1.8
My Qalam
Tafsir al-Qur'an al-Azim, popularly Tafsir ibn Kathir, isaclassicIslamic tafsir (commentary of the Qur'an) by Ibn Kathir.Itisconsidered to be a summary of the earlier tafsirbyal-Tabari,Tafsir al-Tabari. It is especially popular becauseituses thehadith to explain each verse and chapter of the Qur'an.Ithas beentranslated into many languages. Features: - Completebookin Arabiclanguage - Can change text font size - Day andnightreading mode -Easy and quick index navigation - Auto Bookmark(Lastread topic& hadith) - No internet or online connectionrequiredforreading - Designed for both Android mobile phones andtabletsNote:This free App is supported by Ads. Jazak Allah Kheir.