Top 13 Apps Similar to biblia takatifu ya kiswahili
Tenzi Za Rohoni-Toleo jipya 2 . 0 . 7
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wanyimbo161kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lughayaKiswahili.Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungukwanjia yauimbaji mahali popote na muda wowote. Sifa za programnikamazifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapounawezakutafutawimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jinala wimbokwaKiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani yawimbo.•Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodhatofautinahivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, piaunawezakuuondoapale unapoona inafaa. • Inakuwezesha kufuatiliawimbo kwanjia yaala za sauti (thanks to hymnserve.com fortheaccompaniments). •Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupokwenyeprogramu •Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwakwenyenyimbo zingine.• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara yamwishokwa kuuangaza.• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wamanenoya wimbo kadriunavyoona inafaa. • Inakuwezesha kushirikimaneno yawimbo na ndugujamaa na marafiki kwa urahisi. •Inakuwezeshakubadili muonekano waprogramu unaofaa katika mazingiraya Mwanga auGiza ili kuwezeshauono usioumiza macho. Programu hiiimeandaliwa nakutengenezwa naJustin Bulenga Diva na Godfrey Divakwa utukufu waMungu.
Enyimba Za Kristo 1.0.1
Enyimba Za Kristo contains lyrics and audio of the 235SeventhDayAdventist Luganda worship songs Functionalities include:-Openhymn by entering hymn number - Search hymn by title,numberorcontent - Share your favourite hymns via social networks-Listento all audio files offline - Set your font size preference.-Setthe app to Day/Night reading mode. Thanks to SammyRwahwireforproving all the text in this application.