1.01 / February 15, 2014
(4.2/5) (154)

Description

Rasimu II ya katiba mpya ya Tanzaniainakupatia toleo la mwisho la rasimu ya katiba ya tanzaniainayotegemea kutengenezwa mwakani. inakupatia experience ile ile yakatiba ya Tanzania na rasimu ya kwanza, Soma rasimu kwa sura au kwaibara, share na ndugu zako au watanzaniia wenzako katika mitandaoya kijamii ibara za rasimu, share kwa ujumbe mfupi wa sms hata kwawatanzania wasiokua na smartphones au wale wa vijijini kuhusu ibaraflani ambayo unadhani wana haja ya kuijua either kuipinga ilikuomba marekebisho au kuipongeza. Na mengi mengineyo

App Information Rasimu II ya Katiba

  • App Name
    Rasimu II ya Katiba
  • Package Name
    rightclickapps.rasimuII
  • Updated
    February 15, 2014
  • File Size
    3.4M
  • Requires Android
    Android 2.2 and up
  • Version
    1.01
  • Developer
    Rightclick Apps Tanzania
  • Installs
    10,000 - 50,000
  • Price
    Free
  • Category
    Books & Reference
  • Developer
  • Google Play Link

Rightclick Apps Tanzania Show More...

Katiba ya Tanzania 1.06 APK
Katiba ya Tanzania ni offline applicaionambayo inakuwezesha kusoma katiba ya Tanzania inayotumika sasa hukuukiweza kushare na jamii yako kupitia mitandao ya kijamii, baruapepe, sms za kawaida nk.Katika mchakato wa kupata kaatiba mpya hii ya sasa inabidi kwanzaieleweke vizuri sana miongoni mwa watanzaniaConstitution of Tanzaniais offline applicaion that lets you read the constitution ofTanzania used now while you can share with your community throughsocial networks, email, sms routine etc..In the process of getting new kaatiba this current must first beunderstood very well among Tanzanians
Katiba ya Zanzibar(1984) 2010 1.04 APK
Katiba ya Zanzibar ya 1984 toleo la 2010 ni katiba mpyailiyopitishwa na baraza la wawakilishi wa Zanzibar mwaka 2010 nakupitishwa kama katiba mpya ya Zanzibar1984Zanzibar Constitution of 2010 is the version of the newconstitution passed by the House of Representatives of Zanzibar in2010 and approved a new constitution Zanzibar
Rasimu 1.01 APK
Rasimu ya kwanza ya katiba ya Tanzania ya2013. Hii inakuwezesha kusoma na kushare ibara za rasimu ya katibaya Tanzania ambayo nii mfano wa katiba mpya ambayo inatarajikutengenezwa. Pia kuna katiba ya tanzania application hapa googleplay unaweza kutumia application hizi mbili kufanya upembuziyakinifu!The first draft of theConstitution of Tanzania of 2013. This lets you read and sharearticles of the draft constitution of Tanzania which is typicallyan example of a new constitution which inataraji made. Also thereTanzanian constitution google application here can play using thesetwo application feasible!
Issa Michuzi Blog 0.5 APK
this is unofficial issamichuziblog app thatenables you to browse for news without facing ads problems
Chama Cha Mapinduzi 0.071 APK
Mwanachama wa Chama cha mapinduzi jisajilihapa kwa kujaza taarifa zako sahihi na pale zitakapothibitishwautaweza kutumia mambo yote yaliomo ndani, Watumiaji wa applicationhii ni wanachama wa CCM pekee, Hii inawahusu wanachama walisajiliwampaka kufikia sasa au watakaosajiliwa baadae katika matawimbalimbali ya CCM Tanzania au nje ya nchi. Tafadhali kama wewe nikiongozi wa tawi(mwenyekiti na katibu),kata(mwenyekiti nakatibu),wilaya(mwenyekiti,katibu na vingine vyote),mkoa(mwenyekitina katibu na vingine vyote),taifa,vijana(taifa) unaruhusiwakuchagua kama kiongozi wa chama, viongozi wengine wote ambao hampokatika nyadhifa hizo kwa sasa msijaze kuwa ni viongozi.
Kabumbu 1.3 APK
Kabumbu show kipindi kinachorushwa hewanitelevisheni ya East Africa ( EATV) Channel 5 kila siku ya Ijumaasaa 3 usiku. App hii inaletwa kwako na waandaji wa kipindi hichotv.Ndani ya app hii utapata habari za soka la bongo, la kimataifa nahabari/msimamo/matokeo/ratiba ya ligi kuu ya Tanzania. Pia utapataexclusive chance ya kuziangalia video za kabumbu show huku piaikiwa ni video nyingine za mahojiano na mtaani. Vyote hivivikipatikana ndani ya Kabumbu show
Constitution of Uganda 1.185 APK
Offline Constitution of Uganda of 1995 a forumfor discussion is provided inside enables you to read theconstitution and be able to share the contents(articles) withfellows
Rasimu II ya Katiba 1.01 APK
Rasimu II ya katiba mpya ya Tanzaniainakupatia toleo la mwisho la rasimu ya katiba ya tanzaniainayotegemea kutengenezwa mwakani. inakupatia experience ile ile yakatiba ya Tanzania na rasimu ya kwanza, Soma rasimu kwa sura au kwaibara, share na ndugu zako au watanzaniia wenzako katika mitandaoya kijamii ibara za rasimu, share kwa ujumbe mfupi wa sms hata kwawatanzania wasiokua na smartphones au wale wa vijijini kuhusu ibaraflani ambayo unadhani wana haja ya kuijua either kuipinga ilikuomba marekebisho au kuipongeza. Na mengi mengineyo