Description
App Information Hadithi 40 za Imamu Nawawi - S
- App NameHadithi 40 za Imamu Nawawi - S
- Package Namecom.hadithi_40_za_imamu_nawawi
- UpdatedJun 19, 2021
- File SizeUndefined
- Requires AndroidAndroid 4.1
- Version1.0
- DeveloperK Technologies
- Installs-
- PriceFree
- Category
- Developer
- Google Play Link
K Technologies Show More...
Similar Apps Show More...
Kinga ya Muislamu 1.0 APK
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمن الرَّحيم Kwa Jina La MwenyeziMunguMwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu (Akhera) UTANGULIZI Hakika sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu,tunamsifu,tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah, tunamuombaAtuhifadhi nashari za nafsi zetu, na maovu ya matendo yetu.AnayemuongozaMwenyezi Mungu hapana wa kumpoteza, na Anayempoteza,hapana wa wakumuongoza. Nakiri kwamba, hapana apasayekuabudiwa ilaMwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke Yake, hana mshirika,naninakiri kwamba Muhammad ni mja Wake naniMtume Wake. Mwenyezi Mungu Amrehemu na Awarehemu jamaa zakenaMaswahaba zake na wanaowafuata hao kwa wema mpaka sikuyamalipo na Amsalimishe kwa amani nyingi. Baada ya yaliyotanguliahuuni ufupi (Mukhtasar) wa kitabu kiitwacho “HISWN AL-MUSLIMMINADHKAAR AL-KITAAB WA SUNNAH” Ninamuomba Mwenyezi Mungu kwamajinaYake mazuri, na sifa Zake zilizo juu, Ajaaliye kazi hiikuwa,imesafika lengo lake, kwa kutaka radhi zake MwenyeziMunguMtukufu, na Aninufaishe kwa hayo katika uhai wangu huu, nabaada yakufa, na Amnufaishe atakayekisoma, kukichapisha, aualiyekuwa nisababu ya kukitawanya, hakika Yeye MwenyeziMunguNdiye Muweza. Mwenyezi Mungu Amrehemu Mtume wetuMuhammad صلىالله عليه وسلم na Aali zake na Maswahaba wake nawanaowafuatahao, kwa wema mpaka siku ya malipo.
Quran - Swahili Translation 3.1 APK
The best Quran Swahili translation application Quran translationSwahili is a very light application so as not to burden your phonememory. Comes with Swahili translation provided byqurandatabase.org. In addition there is also a bookmark feature tomark the paragraph so that you can continue reading other time onlywith a single click. 1. Al-Quran and Swahili translation 2.Bookmarks feature with just one click 3. Can mark reading tocontinue later 4. The design is simple and easy to understand 5.Full Offline does not require internet connection 6. Lightweightapplication so as not to burden the phone memory Table of ContentAl Quran: Al-Fatihah (The Opening) Al-Baqarah (The Cow) Al-'Imran(The Family of Amran) An-Nisa' (The Women) Al-Ma'idah (The Food)Al-An'am (The Cattle) Al-A'raf (The Elevated Places) Al-Anfal(Voluntary Gifts) Al-Bara'at / At-Taubah(The Immunity) Yunus(Jonah) Hud (Hud) Yusuf (Joseph) Ar-Ra'd (The Thunder) Ibrahim(Abraham) Al-Hijr (The Rock) An-Nahl (The Bee) Bani Isra'il (TheIsraelites) Al-Kahf (The Cave) Maryam (Mary) Ta Ha (Ta Ha)Al-Anbiya' (The Prophets) Al-Hajj (The Pilgrimage) Al-Mu'minun (TheBelievers) An-Nur (The Light) Al-Furqan (The Discrimination)Ash-Shu'ara' (The Poets) An-Naml (The Naml) Al-Qasas (TheNarrative) Al-'Ankabut (The Spider) Ar-Rum (The Romans) Luqman(Luqman) As-Sajdah (The Adoration) Al-Ahzab (The Allies) Al-Saba'(The Saba') Al-Fatir (The Originator) Ya Sin (Ya Sin) As-Saffat(Those Ranging in Ranks) Sad (Sad) Az-Zumar (The Companies)Al-Mu'min (The Believer) Ha Mim (Ha Mim) Ash-Shura (Counsel)Az-Zukhruf (Gold) Ad-Dukhan (The Drought) Al-Jathiyah (TheKneeling) Al-Ahqaf (The Sandhills) Muhammad (Muhammad) Al-Fath (TheVictory) Al-Hujurat (The Apartments) Qaf (Qaf) Ad-Dhariyat (TheScatterers) At-Tur (The Mountain) An-Najm (The Star) Al-Qamar (TheMoon) Ar-Rahman (The Beneficent) Al-Waqi'ah (The Event) Al-Hadid(Iron) Al-Mujadilah (The Pleading Woman) Al-Hashr (The Banishment)Al-Mumtahanah (The Woman who is Examined) As-Saff (The Ranks)Al-Jumu'ah (The Congregation) Al-Munafiqun (The Hypocrites)At-Taghabun (The Manifestation of Losses) At-Talaq (Divorce)At-Tahrim (The Prohibition) Al-Mulk (The Kingdom) Al-Qalam (ThePen) Al-Haqqah (The Sure Truth) Al-Ma'arij (The Ways of Ascent) Nuh(Noah) Al-Jinn (The Jinn) Al-Muzzammil (The One Covering Himself)Al-Muddaththir (The One Wrapping Himself Up) Al-Qiyamah (TheResurrection) Al-Insan (The Man) Al-Mursalat (Those Sent Forth)An-Naba' (The Announcement) An-Nazi'at (Those Who Yearn) 'Abasa (HeFrowned) At-Takwir (The Folding Up) Al-Infitar (The Cleaving)At-Tatfif (Default in Duty) Al-Inshiqaq (The Bursting Asunder)Al-Buruj (The Stars) At-Tariq (The Comer by Night) Al-A'la (TheMost High) Al-Ghashiyah (The Overwhelming Event) Al-Fajr (TheDaybreak) Al-Balad (The City) Ash-Shams (The Sun) Al-Lail (TheNight) Ad-Duha (The Brightness of the Day) Al-Inshirah (TheExpansion) At-Tin (The Fig) Al-'Alaq (The Clot) Al-Qadr (TheMajesty) Al-Bayyinah (The Clear Evidence) Al-Zilzal (The Shaking)Al-'Adiyat (The Assaulters) Al-Qari'ah (The Calamity) At-Takathur(The Abundance of Wealth) Al-'Asr (The Time) Al-Humazah (TheSlanderer) Al-Fil (The Elephant) Al-Quraish (The Quraish) Al-Ma'un(Acts of Kindness) Al-Kauthar (The Abundance of Good) Al-Kafirun(The Disbelievers) An-Nasr (The Help) Al-Lahab (The Flame)Al-Ikhlas (The Unity) Al-Falaq (The Dawn) An-Nas (The Men)