hourglass_full Your download should start automatically in a few seconds...

Download Tenzi Za Rohoni-Toleo jipya_2 . 0 . 7.apk from Apk-Dl Server

Thank you for using Apk-Dl.com to download the apk file (Tenzi Za Rohoni-Toleo jipya_2 . 0 . 7.apk),

If the download doesn't start automatically in a few seconds, please click here to access the download URL directly.

Note: Download and save the apk file to your Android Phone's SD card and install it manually onto the Android device.

Description

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo161kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha yaKiswahili.Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwanjia yauimbaji mahali popote na muda wowote. Sifa za program nikamazifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unawezakutafutawimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbokwaKiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo.•Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofautinahivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, pia unawezakuuondoapale unapoona inafaa. • Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwanjia yaala za sauti (thanks to hymnserve.com for theaccompaniments). •Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenyeprogramu •Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenyenyimbo zingine.• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwishokwa kuuangaza.• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa manenoya wimbo kadriunavyoona inafaa. • Inakuwezesha kushiriki maneno yawimbo na ndugujamaa na marafiki kwa urahisi. • Inakuwezeshakubadili muonekano waprogramu unaofaa katika mazingira ya Mwanga auGiza ili kuwezeshauono usioumiza macho. Programu hii imeandaliwa nakutengenezwa naJustin Bulenga Diva na Godfrey Diva kwa utukufu waMungu.