hourglass_full Your download should start automatically in a few seconds...

Download Qurani (Qur'an) in Swahili_Latest Version.apk from Apk-Dl Server

Thank you for using Apk-Dl.com to download the apk file (Qurani (Qur'an) in Swahili_Latest Version.apk),

If the download doesn't start automatically in a few seconds, please click here to access the download URL directly.

Note: Download and save the apk file to your Android Phone's SD card and install it manually onto the Android device.

Description

Qurani (Qur'an) (Quran katika Kiswahili)
Qur'an (kwa Kiarabu: القرآن) ni kitabu kitukufu cha Uislamu.Qur'aninatazamiwa na Waislamu kama "Neno la Allah (MwenyeziMungu)".Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya vitabuvya dininyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwamoja kwamoja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake wa mwisho,Muhammad.

Lugha na tafsiri
Imeandikwa na kusomwa kwa lugha ya Kiarabu pekee kwa zaidi yamiaka1,400.
Kadiri ya Qurani (42:8), Mungu alimuambia Muhammad: "Na namnahivitumekufunulia Qurani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka nawaliopembeni mwake"
Lakini, kwa vile leo Waislamu walio wengi ulimwengunihawajuiKiarabu, maana halisi ya Qur'an hutolewa kwa lugha nyingine,hivyokupelekea wasomaji kuelewa vyema yale maneno ya KiarabukwenyeQur'an yana maana gani. Vitabu hivyo ni kama kamusi kwa ajiliyaQur'an - hawavisomi hivi kama moja ya sehemu ya Quran tukufunaWaislam, ili kuwa badala ya Quran ya Kiarabu.
Waislamu wengi wanaamini kwamba tafsiri ile siyo ya Qur'an tukufunawala siyo ya kweli; ni kopi ya Kiarabu tu iliyotolewa kwenyeQur'anya kweli.

Waislamu wanaamini kwamba Qur'an tukufu mtume Muhammad alipewanamalaika Jibrīl kwenye pango la mlima Hira, kwa kipindi cha zaidiyamiaka ishirini na tatu hadi mauti wake ilipomfikia.
Qur'an tukufu haikuwa kitabu cha maandiko wakati wa uhai wamtumeMuhammad; iliwekwa kwa mawasiliano ya kimdomo tu. Bimaana,watuwalihifadhi kichwani.
Mtume labda hakuwa anajua kusoma wala kuandika, lakini kwa mujibuwaWaislamu, swahaba wake Abu Bekr alikuwa akiandika maandiko yalejuuya kitu fulani wakati huo mtume Muhammad yu hai. Pale AbuBekralipokuja kuwa khalifa, ameileta Qur'an na kuwakitabukitakatifu.
Uthman, ambaye ni khalifa wa tatu, ameondoa vipengeleambavyovilikuwa havihusiani na Qur'an tukufu.

Elementi, Sura, Mistari, Aya
Kuna sehemu 30 katika Qur'an, ambayo inafanya kuwa na sura 114.Kilasura ina namba tofauti ya mistari.
Kwa mujibu wa mafunzo ya Kiislam, sura 86 kati ya hizizimeshukamjini Makka, sura 24 kati ya hizi zimeshuka mjiniMadina.
Miongoni mwa sura zilizoshushwa mjini Medina ni pamoja naAl-Baqara,Al Imran, Al-Anfal, Al-Ahzab, Al-Ma'ida, An-Nisa,Al-Mumtahina,Az-Zalzala, Al-Hadid, Muhammad , Ar-Ra'd, Ar-Rahman,At-Talaq,Al-Bayyina, Al-Hashr, An-Nasr, An-Nur, Al-Hajj,Al-Munafiqun,Al-Mujadila, Al-Hujraat, At-Tahrim, At-Taghabun,Al-Jumua, As-Saff,Al-Fath, At-Tawba, Al-Insan.

Mahusiano baina Qur'an na Biblia
Katika Qu'ran tukufu, inasomwa kwamba Wayahudi na Wakristopiahuamini Mungu wa kweli. Dini hizi pamoja na Uislamu huitwazaAbrahamu kwa sababu ya mahusiano haya.
Kuna baadhi ya kurasa za Qu'ran zinazoelezea habari za mambo yawatuwa katika Biblia. Kwa mfano watu wa katika Biblia waliotajwakwenyeQu'ran ni pamoja na Adamu, Nuhu, Abraham, Lutu, Ismaili,Yakobo,Yosefu, Haruni, Musa, mfalme Daudi, Solomoni, Elisha, Yona,Yobu,Zakaria, Yohane Mbatizaji, Bikira Maria na Yesu.
Hata hivyo, kuna tofauti za muhimu kabisa baina ya Uislamu natoleola Biblia katika kuelezea habari za aina moja. Kwa mfano,Qu'rantukufu inaelezea kwamba Yesu Kristo si Mwana wa Mungu, kamajinsiWakristo wanavyoamini; kwa Waislamu, alikuwa nabiitu,anayeheshimiwa kwa jina la Isa bin Mariamu.
Uislamu unafundisha kwamba haya yanatokea kwa sababu maandikoyaawali ya Biblia yamepotea na hivyo kuna baadhi yawatuwameyabadilisha. Lakini nje ya Qu'ran hakuna uthibitishowafundisho hilo.

Qur'an (Qur'an) (QuraninSwahili)
Qur'an (Arabic: القرآن) is the holy book of Islam. Qur'anisconsidered by Muslims as the "Word of Allah (God)." This bookisdifferent from the texts of other religions in that it isbelievedto be written directly by God, through His last prophet,Muhammad.

Language and Translation
Written and read in Arabic only for over 1,400 years.
As the Qur'an (42: 8), God told Muhammad: "And thus have Werevealedthe Qur'an in Arabic to warn people of Makka and thosearoundher"
But, as so many Muslims today do not know the Arab world, therealmeaning of the Qur'an are provided in other languages, sothatreaders can better understand the Arabic words on the Qur'anmean.These books are like dictionaries to the Qur'an - do not readthisas one part of the Holy Quran and Muslims, so that instead oftheQuran in Arabic.
Many Muslims believe that it is not the interpretation of theQur'anand not true; Arabic is only presented a copy of thetrueQur'an.

Muslims believe that the Qur'an Prophet Muhammad was given bytheAngel Gabriel in the cave of Mount Hira, for a period of morethantwenty-three years until his death ilipomfikia.
The Qur'an is not a book of records during the life of theProphetMuhammad; kimdomo was made to contact only. Brief writtenrecordsare stored on the head.
The prophet did not he know how to read or write, but accordingtoIslam, his companion Abu Bekr was writing writing aboutsomethingwhen Muhammad was alive. When Abu Bekr came to be thecaliph, hasbrought the Qur'an to be the holy book.
Uthman, who is the third caliph, has removed features that werenotspecifically related to the Qur'an.

Element, Shape, Lines, Aya
There are 30 parts in the Qur'an, which makes it to the frame114.Each image has a different number of lines.
According to Islamic learning, chapter 86 of these have declinedinMecca, chapter 24 of these have declined in Madina.
Among zilizoshushwa in Medina chapter includes Al-Baqara, AlImran,Al-Anfal, Al-Ahzab, Al-Ma'ida, An-Nisa, Al-Mumtahina,Az-Zalzala,Al-Hadid, Muhammad, Mark Ra'd, Ar-Rahman, At-Talaq,Al-Bayyina,Al-Hashr, An-Nasr, An-Nur, Al-Hajj, Al-Munafiqun,Al-Mujadila,Al-Hujraat, At-Tahrim, At- Taghabun, Al-Jumua, As-Saff,Al-Fath,At-Tauba, Al-Insan.

Relations between the Qur'an and the Bible
In glorious Qu'ran, recited that Jews and Christians also believeinthe true God. These religions include Islam called Abrahambecauseof these relationships.
There are some pages that describe Qu'ran concerning the peopleofthe Bible. For example in the Bible are listed on theQu'raninclude Adam, Noah, Abraham, Lot, Ishmael, Jacob, Joseph,Aaron,Moses, King David, Solomon, Elisha, Jonah, Job, Zechariah,John theBaptist, the Virgin Mary and Jesus.
However, there are very important differences between Islam andtheversion of the Bible in describing the story of the same type.Forexample, the noble Qu'ran states that Jesus Christ is not theSonof God, just as Christians believe; for Muslims, he was justaprophet, who is respected in the name of Jesus, son of Mary.
Islam teaches that this is happening because the original textsofthe Bible had been lost and so there are some people turnitaround. But outside Qu'ran no confirmation of that doctrine.